TIBA YA DHIDI KUPATA HEDHI ISIYO NA MPANGILIO


Tiba ya kupata hedhi siyo na mpangilio.
Tatizo la wanawake wengi kuwa na hedhi isiyokuwa na mpangilio limekuwa kwa wengi na hapa kuna wengine inapita miezi hajaingia katika siku zake au inatoka kwa maumivu makali sana .
Tatizo hili hujulikana kitaalamu kama oligomonorrhea

Mzunguko kwa kawaida unatakiwa kuchukua siku 21 mpaka 35 na  kutoka kwa  damu inachukua siku mbili mpaka siku 7.
Ukiona unaingia katika hedhi chini ya mara 7 kwa mwaka ujue kuna tatizo.

VISABABISHI
Chanzo cha tatizo hili ni ni wengi hujiuliza je tatizo hili linasababishwa na nini .
Kuna sababu chache ambazo hupelekea tatizo hili.
Ø  Kuongeza uzito au kupunguza kuliko kawaida
Ø  Hrmone kutokuwa katika mpamgilio
Ø  Matatizo ya inni
Ø  Kisukari
Ø  Kuzaa muda si mrefu au kutoka kwa mimba
Ø  Na matatizo mengine ya kiafya
Sababu nyingine ni za mtindo wa maisha ambao huwa sababu.
Ø  Kunywa pombe
Ø  Kuvuta sigara
Ø  Matumizi ya caffeine
Ø  Msongo wa mawazo
Ø  Vidonge vya uzazi navyo huwa sababu


MATIBABU YAKE.
1.TANGAWIZI
Tangawizi hufanya kazi vizuri katika kudhibiti hali hii ya hedhi zisizoeleweka na inafanya kazi vizuri, tangawizi inafanya vizuri hasa kwa hedhi inayochelewa.
MAANDALIZI
1.chemsha tangawizi nusu kijiko katika maji kikombe kimoja kwa muda wa dakika 5
2. ongeza asali kijiko kimoja.
3. kunywa hii mara tatu kwa siku kila baada yam lo.


1. MDALASINI



Mdalasini hutumika kwa uzuri katika kutatua matatizo haya ya hedhi. Na inatumika katika kupunguza pia maumivu makali wakati wa hedhi, mdalasin una hydroxychalcone ambayo uhusika katika kusawaza insulin.
MAANDALIZI.
Weka nusu kijiko cha mdalasini katika glass moja ya maziwa kunywa hii mara moja kwa siku utaona mabadiliko ndani ya miezi miwili.
Pia unaweza kuweka mdaliai katika chakula unachikula itakuwa vizuri zaidi.


Alovevera

Shubiri au aloe vera  inafanya kazi vzuri katika kufanya mzunguko wako uende vzr,
MAANDALIZI
Tafuta maji ya aloevera kutoka katika alovera changanya na kijiko kimoja cha asali
Kunywa mara moja kwa siku kila baada ya kupata kifungua kinywa.
Tumia kwa muda wa miezi mitatu

5. PAPAI BICHI
Unaweza kutumia papai ambalo halijaiva na likafanya kazi kubwa katika mwili wako.
Kwahiyo kama hedhi yako haina mpangilio inaweza kutumi a hiina ikafanya vizuri zaidi.
Kunywa .  kunywa kwa miezi michache. Epuka kuinywa kama uko katika siku zako.


KUPATA ELIMU ZAIDI NA KUCHART NA DOCTOR DOWANLOAD APP
HAPO CHINI,
na muda si mrefu itakuwa play store.

No comments

Powered by Blogger.