Juisi hii itakusadia kuacha sigara



Ili kuacha uvutaji wa sigara mwili unahitaji vitu viwili ambavyo vinaweza kusaidia katika kuacha tatizo hili
moja ni maji
pili ni vitamins
MAJI
Maji  husaidia katika kutoa sumu ya nicotin kupitia mkojo, na ndo njia rahisi ya kutoa nicotin

vitamin c
hii husaidia katika kupunguza makili ya na madhara ya nicotin iliyopo katika mwili
vitamin A 
hii husaidia katika kutengeneza cell ambazo zimekwisha haribiwa kutokana na moshi


na vitamin B 
hii hupambana katika kuondoa msongo wa mawazo pamoja na kuleta nguvu ya utashi katika akili yako.


Kinywaji hiki kitakusaidia kwa nguvu ya ajabu katika kuacha kuvuta sigara kwa haraka sana  na basi tuangalie namna ya kuandaa kinywaji hiki kwa utaratibu na uzuri.

MAHITAJI

  1. limao mbili au ndimu
  2. karoti 4
3. kijikokimoja cha wheat germ ambayo inapatika katika maduka mbalimbali













4.molases kijiko kimoja 









5.Mjani mawili ya mnanaa









MAANDALIZI
1.Menya limao yako na kuiandaa kisha andaa na karoti yako nbasi changanya katika juicer na kutengeneza juisi yake kisha
weka 
wheat germ wengine huiita ngano kijidudu
na molasses kwakiwango nilichotaja hapo juu na ikoroge kwa uzuri kabisa .

kisha weka na majani yale ya mnanaa kwa pamoja na kuiacha isagike na kuchanganyika vema.

MATUMIZI
kunywa kila siku glass tatu na utaona matokeo ndani ya muda mfupi.

No comments

Powered by Blogger.